Nimaajabu lakini ni kweli kiatu chenye gharama kubwa duniani
Kiatu cha ghali zaidi Duniani💰
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na watu wa masuala ya mitindo imeeleza kuwa kiatu hicho kinagharimu kaisi cha dola milioni 15.1 za Kimarekani na kimetengenezwa kwa vitu mbalimbali kama almasi ya blue, almasi nyeupe na vito vingine 1000 vya almasi.
Kiatu hicho kimetengenezwa na mbunifu Debbie Wingham miaka (35) aliyopo nchini Dubai na kitakuwa kitu cha nne chenye thamani kubwa duniani.
No comments