Karibu utangaze biashara yako hapa contact no 0758018458 AU Email:-mzimbilikiller@gmail.com



Breaking News

Tahadhari epuka kununua nyama kwenye bucha isiyo na nzi basi soma hapo!

​Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi.​

​Mfamasia mmoja Capt Keneth mwanachama wa UPDF, alisema nikweli hili ni suala la Afya kitaifa.​

​Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.​

​Pale formalin ilipokuwa imaingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu.​

​Tahadhali unapoenda buchani k ununua nyama nisalama zaidi kununua nyama kwenye bucha lenye nzi! Tumia uwepo huo kama uthibitisho na usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali  ya formalin.​

​Kama nyama haina nzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.​

​Tafadhali kuwa mwanfalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu!​

No comments