HABARI KUTOKA BUNGENI
Mbunge Ester Matiko amehoji, kwanini serikali isitumie busara zaidi kwa wafungwa hususani wakina mama wenye watoto wachanga ambao wanafungwa kwa kesi za kudaiwa laki 1, 2 halafu wanafungwa miezi 6 kwa maana wanakuwa wanaenda kutumia gharama kubwa kuliko deni wanalodaiwa!

No comments