HABARI Raisi magufuli anetoa mifuko 300 ya seruji ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa katika Kanisa Katoliki jimbo kuu la Arusha wakati wa misa ya kumsimika Askofu Mkuu wa kanisa hilo Isaack Amani.
| RAISI MAGUFULI AMETOA MIFUKO 300 YA SERUJI |
Reviewed by Mzimbilikillertz
on
April 09, 2018
Rating: 5
No comments