KATIBU MKUU WA A CHAMA CHA MAPINDUZI ABDULRAHMAN KINANA!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg, Abdulrahman Kinana ameamua kustaafu nafasi yake ya uongozi wa chama hicho ndani ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya ya Taifa (NEC) ya CCM Jijini Dar es salaam leo.

No comments