RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEISHUKURU....!
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameishukuru nchi ya Saudi Arabia kwa kutoa msaada wa kujenga chuo kikuu cha Kiislamu hapa nchini na ameahidi kuwa serikali itatoa ushirikiano kufanikisha ujenzi wa chuo hicho!

No comments