SIMULIZI FUPI IITWAYO NDOTO FINYU!
|SIMULIZI FUPI IENDAYO KWAJINA LA NDOTO FINYU|
Siku moja natoka safari kuelekea nyumbani sikuamini nilichokuta, kweli usilolijua ni (usiku wa kiza kinene
Nipo zangu ndani sina hili wala lile nikiwa nimepumzika kitandani mara ghafla nilisikia moja ya kelele ambazo zilinichanganya sana kichwani kuweza kuzitambua halaka halaka zilikuwa ni kelele za nn kwakuwa nilichoka sana na pilika za hapa na pale, kelele za kila aina nikajisemea kimayo moyo ( labda itakuwa ni kelele za vilivyopo nje)
Kutokana na uchovu nilionao Siku hiyo sikukumbuka hata kuoga,nikapanda kitandani( bed) nikapumzika.
Hazikupita hata dakika kadhaa nikasikia tena ule ukelele, Nikasema hapana nimesikia kila aina ya kelele zawanyama,binadamu lakini hiikelele ni yaaina gani .
Basi bila kusita nikatega sikio vizuri kutakajua inatokea upande gani hiyo kelele,lakini kila nilipotaka kuinuka nilihisi mwili mzito sana mithili ya meli iliyo tiwa nanga isiondoke....nikawa najiongelea pekea yangu..Jamani nikitugani sasa hiki, wakati huo niliongea kwasauti tena kuujasili mkubwa bila woga wowote ule!
Chaajabu zaidi nikifumbua macho sioni kitu chaaina yeyote ile,ila nikijaribu fumba macho naona vitu vyaajabu sana yani kivuli kinanijia hadi usoni:
Lakini zote hizo kumbe zilikuwa ni njozi za pilika pilika zakimaisha zilinipelekea kuwaza mengi katika jamii iliyo nizunguka! Mwisho!!!!
MZimbilikiller ndo mtunzi wa simulizi hii fupi iendayo kwa jina la Ndoto finyu!
Simu no 0719971644/ 0758018458
Email: Mzimbilikiller@gmail.com
Tukutane kwenye simulizi matata zinazo:-
AHSANTENI:

No comments