JE WAJUA MAJINA YA WATOTO WA WANYAMA (VIUMBE) NIMEKUSOGEZEA KARIBU UYAJUE ZAIDI
Haya hapa enjoy nayo
Ng'ombe......Ndama Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu Ndege....Kinda Kipepeo/nondo....kiwavi Nzi......Buu Farasi....Kitekli Mamba...... Kigwena Nyangumi..... Kinyangunya Fisi.... Kikuto/bakaya Ngamia..... Nirigi/nirihi Paka.......kinyaunyau/kipusi Ndovu.... Kidanga Mbweha.... Nyamawa Nyani...... Kigunge Kondoo..... Kibebe/katama Mbuzi.....Kibui/kibuli/kimeme Farasi na punda.... Nyumbu Punda.... Kiongwe/kihongwe Mbu....kiluwiluwi Chura.... kiluwiluwi Kuku..... Kifaranga Papa.... Kinengwe Nyuki.... Jana Simba..... Shibli Sungura.....Kitungule Kwanga/wibari.... " " Samaki.... Chengo/kichengo Chui.... Chongole/kisui Mbwa..... Kilebu/kidue/kibwa Nyoka...... Kinyemere Njiwa..... Kipura Wazazi wenye rangi tofauti.... Chotara/suriama

No comments