MMILIKI WA FACEBOOK MARK ZUCKERBERG AELEZA KUWA..........!
Mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg tangu kuzuka kwa kashfa ya #CambridgeAnalytica, ameibuka na kukiri kwamba wamefanya makosa > Ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa katika mtandao huo ili kutoingiliwa na kuibwa kwa taarifa za watumiaji wake!

No comments