FAHAMU ZAIDI NIKWANINI WANASAYANSI WANATAKA KUDUKUWA [ HACKING] UBONGO WA MWANADAMU
Kama tunaelewa dunia ya sasa niya kiteknolojia zaidi sasa fahamu kuhusu hawa watu nikwanini wanataka kuchukuwa maamuzi ya kudukuwa kwajina la kitaalamu tunaita HACKER fahamu zaidi nikwanini wanaamua kufanya hivi


Neura link: Ni kampuni iliyoanzishwa na Elon Musk inamipango ya kudukua ubongo wa mwanadamu ili kutatua mbinu za kuunganisha ubongo [BRAIN] wa mwanadamu na Tarakilishi imewasilisha ombi kwa wadhibiti Marekani kuanza kupima kifaa chake miongoni mwa wanadamu!
Mfumo huu umejaribiwa katika tumbili ambaye aliweza kudhibiti TAYAKILISHI naubongo wake kulingana na bwana musk
Kampuni hiyo ilikuwa inalenga kuwaangazia wagonjwa wenye matatizo ya uti wa mgongo NEVA na UBONGO kwa mwanadamu.
Lakini hata hivyo lengo la bwana Musk ni kudukuwa UBONGO wa mwanadamu kupitia TARAKILISHI
kifaa kidogo ambacho kimetengenezwa na kampuni kinacho weza kuchunguza chenye electrodes zaidi ya 3,000 zilizounganishwa na nyuzi zinazoweza kubadilika ambazo ni nyembamba kuliko nywele za mwanadamu na ambazo pia zinaweza kufuatilia shughuli za Neuroni 1,000.

Umuhimu wa mfumo huu kulingana na kampuni hiyo ni kulenga maeneo fulani katika ubongo hatua inayofanya upasuaji kuwa salama.
Pia kinaweza kutasmini yaliyorekodiwa kupitia mashine ambayo itaamua ni aina gani matibabu atakayopewa mgonjwa.



No comments