Karibu utangaze biashara yako hapa contact no 0758018458 AU Email:-mzimbilikiller@gmail.com



Breaking News

NCHINI UGANDA: NG'OMBE KUPEWA VYETI VYA KUZALIWA

Nimaajabu lakini ni kweli najua utashangaa kama nilivyoshangaa na mimi pia sasa ipo hivi.

Ng'ombe wote nchini UGANDA wanatarajiwa kupewa vyeti vya kuzaliwa ili kufikia mashsrti ya kibiashara katika soko la muungano wa ULAYA ,UE.

Ngombe

                               
                  Kwa mujibu wa daily monitor waziri wakilimo , ufuaji na uvuvi VICENT SSempijja amesema kuwa mataifa yanayokuza chakula kwaajulu ya soko la UE lazima yatoe stakabadhi inayoonesha bidhaa hiyo imetoa wapi

BW. SSempijja aliongeza kuwa bidhaa kutoka UGANDA zinashikiliwa au kupigwa marufuku Barani ULAYA.
Ng'ombe

                       
                   

No comments