RADIO GARDEN LIVE
Nimaajabu lakini nikweli kama tujuavyo technolojia inavyo kuwa kwakasi ya ajabu unasubili nini sasa kuwa wakwanza kupata habari zinazojili katika dunia ya techno leo leo nimekusogezea habari kwa wepesi!
Kuna kitu kinaitwa RADIO GARDEN LIVE Hii ni online radio ambayo bado inawashangaza watu mpaka leo ni ujuzi wa kina sana naweza sema ambao umetumika kucreate au kutengeneza online radio hii tofauti sana na online radio zote tulizo zizoea!
Ipo katika mwonekano huo yani pindi uingiapo kwenye site hiyo utakutana na kitu hicho na hizo doti doti za kijani ndio station au channel zenyewe sasa wewe cha kufanya utabonyeza doti na radio hiyo kuanza kuplay

![]() |
| MZIMBILIKILLERTZ |
BONYEZA LINK HAPA CHINI KUSIKILIZA RADIO LIVE BILA KUKWAMA KWAMA

No comments